Nguvu ya asili ya mawimbi yenye utano
Wanasayansi nchini
Marekani wamefanikiwa kubaini Mvutano wa asili wa mawimbi na kusema
uvumbuzi huo unawapa mwanya mpya wa kuuelewa ulimwengu zaidi.
Albert
Einstein alitabiri kuwa uwepo wa mvutano huo wa mawimbi karne
iliyopita,Nadharia yake ilikuwa kwa ujumla ikihusisha jimbo ambalo
linasafiri kwa kasi na kumulika mwanga ikiwa inajaribu kujikunja na
kutaka kutosha katika muda unaotumika.Mpaka sasa wamedhibitisha kuwa ni ndoto,ingawa watafiti wa LIGO na mashuhuda wa suala hili nchini Marekani,wanasema kadri wanavyoyaona mawimbi yanayotoka katika mashimo mawili meusi wanaamini kuwa hiyo ni ishara iliyo wazi kabisa.
wakati katika mkutano wa habari mjini washington,mkurugenzi mtendaji wa Interferometer Gravitational wave Obsever Dave Rietze - akitoa tangazo hili:"mabibi na mabwana ,tumeweza kuchunguza mvutano huo wa asili wa mawimbi,na tumeweza,nina furaha kubwa kuwaambia kuwa mivutano wa asili wa mawimbi haya yaliandaliwa na katika mashimo mawili meusi ambayo yanakuja kwa pamoja na kutengeneza shimo moja,ni kama kitu cha miongo kadhaa iliyopita"
Post a Comment