1.Mwanasoka
mkongwe wa brazil pele, alijipatia jina hilo la utani lenye maana
katika lugha ya kibrazil na kireno “ miguu sita” (six feet),kutokana na
kuwa na vidole sita katika kila mguu.
2.Mwana soka anakimbia kilomita zipatazo kumi (10) katika mchezo mmoja.
3.Mwanasoka
wa kibrazil, Ronaldinho ndio mfungaji anayekumbukwa zaidi kwa kufunga
mabao mengi duniani, alifunga mabao 23 akiwa na umri wa miaka 13 tu.
4.Mnamo
mwaka 1998 Radi iliua wachezaji wote kumi na moja (11) wa timu moja na
kuacha wachezaji wa timu pinzani wakati wa mchezo nchini DRC na kudhuru
watazamaji wapatao thelathini.
5.Mnamo
mwaka 1964 simu aliyopokea mwamuzi wa mchezo (refa) akiwa uwanjani huko
nchini Peru ilisababisha vurugu iliyopelekea watu mia tatu (300)
kufariki.
6.Washabiki
wa soka nchini Columbia waingia na jeneza uwanjani la mshabiki mwenzao
aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku ya kuwania kuingia fainali akiwa na
umri wa miaka17. Washabiki hao waliingia nae siku ya fainali.
7.Mnamo
mwaka 1966 kombe la dunia liliibiwa na baadae mbwa akalipata siku
chache kabla ya mshindano hayo kuanza. Kombe la dunia kwa mara ya kwanza
lilitengenezwa kwa makaratasi na kubadilishwa baada ya kuharibiwa na
mvua kali iliyonyesha. Siku hizi kombe hilo linatengenezwa na zahabu
yenye uzito upatao kilo 4.97.
8.Katika
kombe la dunia mwaka 1950, timu ya Soka ya India ilitaka kucheza peku,
shirikisho la soka ulimwenguni (FIFA) likagoma. Timu hiyo ikasusia
mashindano hayo!
9.Pele
alipokwenda Nigeria kucheza soka katika mchezo wa hisani mnamo mwaka
1967, pande mbili zinapigana vita, zilikubaliana kusimamisha vita kwa
muda wa masaa 48.
10.Mrtinho
Eduardo Orige kutoka Brazil ndio mchezaji pekee kuchezea mpira kwa muda
mrefu zaidi duniani! Alichezea mpira kwa muda wa masaa 19.5, alivunja
record hiyo mnamo mwaka 2003.
- See more at: http://kumimuhimu.com/2014/08/20/maajabu-kumi-ya-soka-usiyoyajua-2/#sthash.euQGqKEK.dpuf

Post a Comment