0


CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA
KISHIRIKIANA NA
TAASISI
YA CONFUCIUS YA CHUO KIKUU
CHA DAR ES SALAAM
Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
kwa kushirikia na
Taasisi ya Confucius
ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
kinawatangazia wananchi wote kuwa chuo kitaendesha kozi
fupi ya lugha ya Kichina itakayoanza
tarehe
9/1/2016Campus kuu ya MUST
-
Mbeya. Mwishoni mwa
kozi hii, washiriki watakuwa na uwezo wa kusikiliza,
kuongea, kusoma na kuandika Kichina.
Washiriki hao wataweza pia kuhudhuria kozi za hatua za kati na za juu zinazofundishwa kwa lugha
ya Kichina ndani na nje ya Tanzania.Vilevile, kozi hii itawasaidia wale wanaotarajia kusoma zaidi
huko China au kufanya bia
shara , kufanya kazi na makampuni ya Kichina. Kozi hii itafundishwa na
waalimu kutoka China.
JINSI YA KUJIUNGA NA KOZI FUP BOFYA HAPA

MBEYA UNIVERSITY SCIENCE AND TECHNOLOGY (MUST) 

Post a Comment

 
Top