Waziri
wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira , January Makamba
akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea
Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili ya utambulisho pamoja na
kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
Waziri
wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh .January
Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin
Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili ya
utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati
ya Tanzania na Uturuki.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January
Makamba wa kwanza kushoto akielezea jambo kwa Balozi wa Uturuki
Ms.Yasemin Eralp wa pili kutoka kushoto mapema hii leo alipomtembelea
ofisini kwake, wengine ni Bw. Berat Colak aliyeambatana na balozi na
anayefuatia Dr. Julius Ningu Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya
Makamu wa Rais.
Post a Comment