Waziri
wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (mbele) akiongoza kikao
kilichoshirikisha watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na kampuni ya
Mtibwa Sugar Estates Ltd. Profesa Muhongo aliitaka kampuni hiyo kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme ili kukidhi mahitaji yake zaidi.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini - Madini, Prof. James Mdoe (kushoto) na Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Nishati na Madini – Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana
Palangyo (kulia) wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa
na Mkurugenzi Mtendaji wa Mtibwa Sugar Estates Ltd, Nassor Seif (hayupo
pichani)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mtibwa Sugar Estates Ltd, Nassor Seif akielezea shughuli
zinazofanywa na kampuni ya Mtibwa Sugar Estate Ltd.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba akisisitiza jambo katika kikao hicho.
Post a Comment