Mbunge wa jimbo la Liwale,mh Zuberi Kuchauka akifurahia ushindi alioupata octoba 25 mwaka huu kwenye mkutano uliofanyika jana kwenye uwanja wa Nanjinjiwa lengo la mkutano ilikuwa ni kuwashukuru wapiga kura wa jimbo la Liwale
Mbunge wa jimbo la Liwale aliyekaa kulia,katikati ni saidi katundu katibu wa cuf (w) watatu ni diwani wa Liwale B mh,Mtesa mtesa A.K.A mpambanaji ambaya ni mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Liwale
Baadhi ya viongozi na madiwani walioudhulia kwenye mkutano wa kuwashukuru wanannchi kwa kuweza kukiunga mkono cha cuf.
Mwenyekiti wa cuf (w) Mdohoma Mdohoma akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kuwashukuru wananchi jana kwa kuweza kukipatia chama cha cuf madiwani 13 na kuweza kumpata mwenyekiti wa halmshauri kutokea cuf
Katibu wa cuf (w) Saidi Katundu akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kuwashukuru wananchi jana kwa kukiunga mkoni chama cha cuf
Post a Comment