0

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara ,Ndugu Musa Uledi akizungumza katika mahafali ya 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya  katika Ukumbi wa Rehema Confrence jijini Mbeya 
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara ,Ndugu Musa Uledi kulia na Mwenyekiti wa Bodi Chuo Cha (CBE) Profesa Methew Luhanga, pamoja na Mkuu wa Chuo cha CBE Profesa Emanuel Mjema katika mahafali ya 50 ya Chuo hicho katika Ukumbi wa Rehema Confrence jijini Mbeya.

Afisa Taaluma wa Chuo cha Elimu ya Biashara ( CBE)Kampasi ya Mbeya ,Ndugu Thotnant Kayombo akisoma majina ya wahitimu wa fani mbalimbali katika mahafali ya 50  ya Chuo Hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kisasa wa Rehema Confrence jijini Mbeya.

Baadhi ya wahitimu wa Elimu ya Biashara Chuo cha CBE Kampasi ya Mbeya wakisubiri kutunukiwa vyeti.



Wahitimu wakivaa kufia zao kuonesha ishara ya kutunukiwa vyeti na mgeni rasmi Katibu Mkuu Viwanda na Biashara Musa Uledi katika mahafali hayo ya 50 ya Chuo  cha CBE Kampasi ya Mbeya katika ukumbi wa Rehema Confrence jijini hapa.
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Viwanda na Biashara Ndugu Musa Uledi akitoa vyeti na Zawadi wa wanafunzi walio fanya vyema katika masomo yao .

Mmoja wa wanafuzni walio fanya vyema katika masomo yake  akipokea cheti na zawadi kwa mgeni rasmi Katibu Mkuu Viwanda na Biashara Musa Uledi katika mahafali ya 50 ya Chuo hico cha CBE Kampasi ya Mbeya.



Meza kuu katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Mbeya   pamoja na wahadhiri wa chuo hicho .

Meza kuu katika Picha ya Pamoja na Wahitimu wa Elimu ya Biashara katika Chuo cha CBE Kampasi ya Mbeya
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Ndugu Musa Uledi akisoma tamko la kufunga rasmi Mahafali ya 50 ya  Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi ya Mbeya  ,kwa fani ya ,Ununuzi na Ugavi mahafali ambayo yamefanyika katika Ukumbi wa Kisasa wa Rehema Confrence jijini Mbeya.


Burudani kutoka kwa kikundi cha Kihumbe.

Post a Comment

 
Top