Taarifa iliyonifikia kutoka ofisi ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais, Ikulu kuwa Mawaziri na Manaibu Waziri walioteuliwa leo Dec 10, 2015 na Rais wa awamo ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli wataapishwa siku ya Jumamosi Dec 12, 2015 IKULU Dar es Salaam.
Shughuli hizo za uapishwaji zitafanyika kuanzia saa tano asubuhi.
Post a Comment