Katoro, Geita
MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita na
aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia Chadema, Alphonce
Mawazo ameuawa leo baada ya kushambuliwa kwa mapanga kichwani na watu
wasiofahamika wakati akifanya kampeni za kumdadi diwani wake katika kata
ya Ludete, Katoro mkoani Geita.
Post a Comment