0

Leo napenda nizungumzie jambo moja
tu ambalo ni juu ya jambo moja
tu, nalo ni namna
wanavyoweza kui-pin point
siku ile ya kilele
(i.e fruitful/productive/fertile
day), hapa nina maana ya siku ile
ambayo wao wanaiita siku ya 14.
Ikumbukwe kuwa wanawake
wanatofautiana katika suala zima la
urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani
idadi ya siku kati ya period ya kwanza
hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa
la wanawake wana fall
kwenye range ya siku 22-35. Japo
walio-normal wana siku 28. Vile vile
kuna wengine huwa na menstral
cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo
walio na menstral cycle fupi, mathalani
wale wenye siku 22, huwa
vilevile wana kipindi kifupi sana cha
kutokwa na damu (period), yaani damu
inaweza kukatika ndani ya
siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au
zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha
kutokwa na damu (period)
ambapo wengine huwachukua hata siku
kati ya 5 hadi 8.
Hivo basi, kama wewe ni mwanaume
inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako
juu ya hayo niliyoyasema
hapo juu ili ikusaidie kui-pin point ile
fertile day (yaani siku ya mimba).
Swali: Je siku ya mimba ni ipi?
Jibu lisilosahihi: Watu wengi na hata
baadhi ya wanasayansi wanafikiri siku
ya mimba ni ile ya 14 baada
ya dalili za kwanza za damu ya hedhi!
Wao huhesabu kuanzia siku ile damu
ilipoanza kutoka hadi siku ya
14! Utaratibu huu ume-prove failure! Hii
ni kwa sababu wanawake wana menstral
cycle
zinazotofautiana kwa urefu. Hivo basi
jibu sahihi ni hili hapa chini:
Jibu sahihi:
1. Kwanza inabidi ujue kama mwenzi
wako ana menstral cycle ipi? Fupi au
ndefu, ama zote mbili?
2. Baada ya kujua urefu wa menstral
cycle ya mwenzi wako then pin point
siku ile ya mwisho halafu
uhesabu backwards siku 15 kuanzia siku
ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia
mwisho ndiyo siku ya
mimba kwa mwanamke yeyote!
Once you know the '15th day' from the
last one, then you can manoeuvre
whatever you want to get her
pregnant or to avoid pregnancy!
With this new approach of pin pointing
the fertile day you will find that all
women (menstral cycles)
are covered, whereas the old way of
counting fits only to women whose
menstral cycles are 28 days!
Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya
dada zetu na wengine:
1. Kama mwanamke ana menstration
cycle ya siku 22 inabidi afanye kama
ifuatavo: Kwanza
itabidi atengeneze kalenda yake
mwenyewe ya siku zake zote za
menstration cycle kama hapa
chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th,
10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th,
17th, 18th, 19th,
20th, 21st, 22nd.
Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day
kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.
Ataona kuwa siku ya
kumi na tano inaangukia kwenye 8th
day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo
siku ya mimba
kwa mwanamke yeyote ambaye ana
menstration cycle ya siku 22. Akumbuke
kwamba 1st day
ndiyo siku anayoanza ku-bleed!
2. Kama mwanamke ana menstration
cycle ya siku 28 inabidi afanye kama
ifuatavo: Kwanza
itabidi atengeneze kalenda yake
mwenyewe ya siku zake zote za
menstration cycle kama hapa
chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th,
10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th,
17th, 18th, 19th,
20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th,
27th, 28th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day
kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.
Ataona kuwa siku ya
kumi na tano inaangukia kwenye 14th
day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo
siku ya mimba
kwa mwanamke yeyote ambaye ana
menstration cycle ya siku 28. Akumbuke
kwamba 1st day
ndiyo siku anayoanza ku-bleed!
3. Kama mwanamke ana menstration
cycle ya siku 35 inabidi afanye kama
ifuatavo: Kwanza
itabidi atengeneze kalenda yake
mwenyewe ya siku zake zote za
menstration cycle kama hapa
chini:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th,
10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th,
17th, 18th, 19th,
20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th,
27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd,
34th, 35th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day
kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.
Ataona kuwa siku ya
kumi na tano inaangukia kwenye 21st
day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo
siku ya mimba kwa
mwanamke yeyote ambaye ana
menstration cycle ya siku 35. Akumbuke
kwamba 1st day ndiyo
siku anayoanza ku-bleed!
4. Kama mwanamke ana abnormal
menstration cycle ya siku 15 , BASI
KUNAUWEZEKANO
WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA
INAVYOONEKANA HAPA CHINI:
Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake
mwenyewe ya siku zake zote za
menstration cycle kama
kawaida:
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th,
10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.
Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day
kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.
Ataona kuwa siku ya
kumi na tano inaangukia kwenye 1st
day. Inamaana kwamba, the 1st day of
her bleedind ndiyo
siku ya mimba kwa mwanamke yeyote
ambaye ana menstration cycle ya siku
15. Akumbuke
kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza
ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku
ambayo mwanamke wa
kundi hili anaweza kupata mimba!
Hii inamaana kwamba, siku ambayo
linaharibika lile yai la upande mmoja
ndiyo siku hiyo hiyo
ambayo yai la upande wa pili
linapevuka tayari kwa kurutubishwa.
Mwanamke wa aina hii
anaweza kupata mimba tu kama
atakutana na mwanaume siku ile
anayoanza kubleed, kwani siku
ambayo yai moja linaanza kuharibika
ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la
upande wa pili
linakuwa tayari kurutubishwa!
Na wanawake wa kundi hili la nne
ukiwauliza vizuri watakiri kwamba
hawajawahi kuona au ku-feel ule ute
mweupe ambao wenzao huwa
wanaupata siku ile yai linapokuwa
tayari kwa
kurutubishwa, kwani ute wa wanawake
wa kundi hili la nne huwa
unachanganyikana na damu
kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza
ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili
huwa
wanatokwa na kiasi kidogo sana cha
damu; na bleed hukatika ndani ya siku
moja au mbili tu!
Jambo la kushangaza ni kwamba,
wanawake wengi hawana knowledge ya
kutosha juu ya hili
suala la siku ya mimba; hasa wale
ambao wana menstration cycle
inayobadilikabadilika! Wao
husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo
maana hawawezi hata ku-plan kutopata
mimba! Hawana
ujanja kabisa ndio sababu wengi
wanatumia sindano na njia zingine
nyingi za artificial ambazo
mwisho wa siku huwaletea matatizo ya
uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya
uzazi! Nimeona
wengi wenye matatizo ya uzazi
unaosababishwa na hizi artificial family
planning. Wengine
hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa
ili wapate mimba jambo ambalo ni
hatari kwa afya zao!
Full maelezo ya kujitosheleza, ukikosa
kudaka au kudakisha mimba basi kuna
walakini

Post a Comment

 
Top