0

Timu ya Black Eagle fc Leo imeendelea kutamba baada ya kuilaza timu ya Masasi boys goli 2 kwa bila katika ligi ya Mtenjele cup wilayani Masasi  mchezo uliochezwa katika uwanja wa bomani.
Magoli ya Black Eagle yalifungwa na Bashiru Musa Hasani Rajabu na kuipatia timu yao point 3 muhimu katika mchezo wao huo ambao Leo ilikuwa mchezo wao muhimu sana kushinda.

Post a Comment

 
Top