0
                           Mkuu wa wilaya ya Liwale Mheshimiwa Ephraim Mmbaga
 ndugu zetu walemavu wakiwa wanapata chakula maalum kilichoandaliwa na serikali ya wilaya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wilayani Liwale
 Mkuu wa wilaya akichukua chakula kwa kuwahudumia watu ambao wenye ulemavu
 Mkuu wa wilaya akimpa chakula mmoja wa washiriki wa hafla hiyo jana katika ukumbi wa Tengeneza Liwale



 Baadhi ya wananchi walioshiriki na kujumuika katika zoezi maalum la kuwasikiliza kero za walemavu
hawa ni baadhi ya viongozi mbalimbali walioudhulia katika hafla hii

Post a Comment

 
Top