Rais
Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Dkt Mahadhi Juma Maalim alipowasili jijini New York,
Marekani.
Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa WAZIRI wa Kazi na Ajira, Mhe. Gaudensia Kabaka anayefuatiwa na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee .
Jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
Rais
Kikwete akisalimiana na baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu kutoka nchi
mbalimbali walioalikwa kushuhudia ufunguzi wa jengo la ghorofa sita la
Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini
New York, Marekani
Rais
Kikwete akisalimiana na wakandarasi wa ujenzi wa jengo la ghorofa sita
la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa
jijini New York, Marekani
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalumu Mhe.Naomi Mwakyoma Kaihula katika
ufunguzi wa jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa
Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akifunua pazia kama ishara ya kufungua rasmi jengo la ghorofa
sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa
Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete na pamoja na Mwakilishi wa Kudumu Katika Umoja wa Mataifa,
Balozi Tuvako Manongi na wageni waakikwa wakipiga makofi mara
alipofungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu
wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa
Dkt Mahadhi Juma Maalim (kulia) na Mwakilishi wa Kudumu Katika Umoja wa
Mataifa, Balozi Tuvako Manongi mara alipofungua rasmi jengo la ghorofa
sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa
Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akisalimiana na maafisa wa Wizara ya Mambo y Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa baada ya kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
Rais
Kikwete akikagua ofisi katika jengo la ghorofa sita la Ofisi za
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani. Kushoto ni Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Umoja
wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi
Rais
Kikwete akiangalia picha za waliopata kuwa Wawakilishi wa Kudumu wa
Tanzania katika Umoja wa Mataifa baada ya kufungua rasmi jengo la
ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja
wa Mataifa jijini New York, Marekani

wa Mataifa jijini New York, Marekani. Nyuma yake ni Mwakilishi wa Kudumu
wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi
Rais
Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kufungua rasmi jengo la
ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja
wa Mataifa jijini New York, Marekani, Akiangalia ni Mwakilishi wa Kudumu
wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi
Rais
Kikwete akisalimiana na wafanyakazi kwenye ofisi hizo mara alipofungua
rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania
katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akisalimiana na Bw. Joseph Msami wa Raido ya Umoja wa Matifa
Idhaa ya Kiswahili kwenye ofisi hizo mara alipofungua rasmi jengo la
ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja
wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akipiga picha na wageni mara alipofungua rasmi jengo la ghorofa
sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa
Mataifa jijini New York, Marekani
Rais Kikwete akipiga picha na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa, Balozi Amina Salum Ali
baada ya kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa
kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akihutubia mara alipofungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi
za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
Rais
Kikwete akihutubia mara alipofungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi
za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
Rais
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wawakilishi wa nchi mbalimbali
za za Afrika katika Umoja wa Mataifa baada ya kufungua rasmi jengo la
ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja
wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri, Wabunge, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Mbele kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe Mohamed Chande Othman (kulia)baada ya kufungua rasmi jengo la
ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja
wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akatika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozini hapo baada
ya kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa
kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akatika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozini hapo baada
ya kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa
kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akatika picha ya pamoja na wenzanwa wafanyakazi wa ubalozini
hapo baada ya kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
Rais
Kikwete akatika picha ya pamoja na wafanyakazi wakandarasi wa ujenzi wa
jengo baada ya kulifungua rasmi jengo hilo la ghorofa sita la Ofisi za
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
Rais
Kikwete akatika picha ya pamoja na wanajumuiya wa Tanzania wanaoishi
Marekani w baada ya kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
Rais
Kikwete akatika picha ya pamoja na baadhi ya Wa-Tanzania wanaoishi
Marekani w baada ya kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New
York, Marekani
Rais
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa matawi ya CCM
MArekani Bw. Isaac Kibodya na Mkewe baada ya kufungua rasmi jengo la
ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja
wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa matawi ya CCM
Marekani Bw. Isaac Kibodya na Mkewe baada ya kufungua rasmi jengo la
ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja
wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na baadhi ya Watanzania waishio Marekani
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko
wa Umoja wa Mataifa.
Miongoni
mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita
la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na
Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa
la Uchumi na Jamii (ECOSOC - UN).
Post a Comment