0

Umuhimu wa cheti cha kuzaliwa:
• Ni uthibitisho rasmi wa Jina lako,
umri, tarehe ya kuzaliwa na mahali
ulipozaliwa
• Kuwawezesha watoto kujiunga
na elimu ya msingi na sekondari
• Kuwawezesha wanafunzi kupata
nafasi za masomo ya elimu ya juu
• Kuwawezesha wanafunzi kupata
mikopo ya masomo elimu ya juu
• Kuzuia ajira kwa watoto na
utumiaji wa watoto katika vita
• Kumwezesha mwananchi kupata
pasi ya kusafiria ‘’passport”
• Kumwezesha mwananchi kupata
Kitambulisho cha Utaifa mara
akifika
• Kumwezesha mwananchi kupata
Bima ya Afya
• Kumwezesha mtoto kurithi mali
ya wazazi wake

Post a Comment

 
Top