Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais
amesema kuna ‘wapiga deal’ walikuwa wameingilia mradi wake huku Dangote
akisema mwezi huu analeta malori 600 kwaajili ya shughuli zake na
kubebea saruji na kwamba atanunua kila rasilimali kwaajili ya kiwanda
hicho hapa hapa Tanzania. Pia amedai kuwa atatengeneza ajira zingine
mpya zaidi ya 1,500.