0
VIONGOZI ccm wanaonekana
kuguswa na mabadiliko ya
kimaendeleo na kuunga mkono
harakati za kuleta mageuzi katika
Nchini, huku shehena la viongozi
wa chama hicho likiongezeka
kila kila siku zinavyozidi
kujongea.
Kama ilivyo kwa mgombea Urais
kupitia UKAWA, Edward Lowassa
anavyoonekana kuutumia msemo
wa Baba wa Taifa julius nyerere
kuwa "Watanzania wanataka
mabadiliko, na wasiopoyapata
ndani ya CCM yatayafuata nje ya
CCM" ndicho kinachofanyika kwa
viongozi hao kuihama CCM,
kufuata mabadiliko UKAWA.
Wafuatao ni viongozi 12
walioamua kuihama CCM na
kufuata Vuguvugu la mabadiliko
katika Umoja wa Katiba ya
Wananchi (UKAWA).
Orodha ya Viongozi 12, CCM
Walioamua Kwenda CHADEMA.
1.Edward Lowasa.- Waziri
mkuu (2005-2008)
2.Lawrence Masha-Waziri
(Utawala wa Mkapa)
3.Lames Lembeli-Waziri
4.Dkt.Milton Makongoro
Mahanga-Naibu waziri
5.Ester Bulaya-Mbunge ccm.
5.Hon Mgana Msinda-
Mwenyekiti ,ccm singida.
6.Khamis Mgeja-Mwenyekiti
ccm shinyanga.
7.Mr. Paul Matemu-Mwenyekiti
uvccm, Kilimanjaro.
8.Onesmo Ole Nangole ,
Mwenyekiti ccm,Arusha.
9.Isack Joseph-
10.Ole Medeye-Mbunge
Arumeru.
11.Isaya Simon Bukakiye,
Meneja wa Fedha ccm,
Kahama.
12. Fedrick Sumaye-Waziri
mkuu Mstaafu.

Post a Comment

 
Top