Walimu nchini Kenya wana kila la
wanatarajiwa kupokea nyongeza
ya mshahara kwa hadi asilimia
60.
Mahakama ya juu imetoa uamuzi
huo baada ya mvutano wa muda
mrefu kati ya serikali na
muungano wa walimu.
Serikali imekuwa ikisema haina
uwezo wa kuendelea kuwapa
nyongeza zaidi walimu laki mbili
nchini humo.
Walimu walikuwa wameapa
kugoma iwapo hawangepata
nyongeza hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment