0


RAIS mtaafu wa jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania awamu ya tatu Benjamin Mkapa hapo kesho majir ya SAA 5:30 am anatarajia kufungua kituo cha radio Fadhila ambacho ni kituo kwanza katika wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kilichoanza kurusha matangazo yake juni 2 mwaka 2013 na viongozi mbalimbali wanatarajiwa kuhudhulia katika sherehe hizo.

(Maandalizi ya uzinduzi wa radio fadhla wilayani Masasi kesho agosti 16)

Post a Comment

 
Top