Mkuu wa wilaya ya Masasi Bernard Nduta amehitimisha mafunzo ya usalama barabarani kwa waendesha vyombo vya moto (bodaboda) 454,sherehe hizo za kuitimisha mafunzo hayo yamefanyika katika maeneo ya viwanja vya mduleni Leo mjini masasi.
Mkuu wa wilaya aliushukuru uongozi wa chuo cha FUTURE WORLD VOCATIONAL INSTITUTE kwa kusaidia kuendesha mafunzo hayo ambayo wahitimu hao wakiwa wamepatiwa vitambulisho vitakazowawezesha kupata leseni halali ndani ya muda ya miezi mitatu.
Ismail Mute ni mmoja kati ya wahitimu hao alisema mafunzo hayo ni elimu muhimu kwa walioshiriki na huku akiwaasa vijana engine kutopuuzkutopuuzia pindi kutokeapo nafasi kama hizo muhimu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment