0

Kamati ya Waamuzi nchini
imetangaza orodha ya waamuzi
wanaotakiwa kushiriki Semina na
mtihani wa waamuzi itakayoanza
tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini
Dar es salam, Waamuzi hao na
sehemu wanaozotekea katika
mabano ni Alex Mahagi (Mwanza),
Hashim Abdallah (Dsm), Athony
Kayombo (Rukwa), Amon Paul
(Mara), Ahamada Simba (Kagera),
Athuman Lazi (Morogoro),
Abdallah Kambuzi (Shinyanga),
Martin Saanya (Morogoro), Israel
Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob
(Pwani), Michael Magoli (Dsm),
Simon Mberwa (Pwani),
Livingstone Lwiza (Kagera), Ngole
Mwangole (Mbeya).
Steven Makuka (Iringa), Florentina
Zabron (Dodoma), Jacob Adongo
(Mara), Mathew Akrama (Mwanza)
Jonesia Rukyaa (Kagera), Sophia
Mtogori (Mara), Ahmad Seif
(Pwani), Allawi Omary (Kigoma),
Andrew Shamba (Dsm), Isihaka
Shirikisho (Tanga), David Paul
(Mtwara), Mohamed Theofili
(Morogoro), Mary Kapinga
(Rukwa), Dominic Nyamisana
(Dodoma), Erick Onoka (Arusha)
na Kennedy Mapunda (Dsm).
WAAMUZI WASAIDIZI LIGI KUU
Haji Mwalukita (Tanga) Julius
Kasitu (Shinyanga), Ferdinand
Chacha (Mwanza), Frank Komba
(Dsm), Abdallah Selega (Dsm),
Catherine Thobias (Dsm), Kudura
Omary (Tanga), Hassan Zani
(Arusha), Abdallah Uhako
(Arusha), Kassim Mpanga (Dsm),
Hussein Amiri (Mtwara), John
Kanyenye (Mbeya), Charles Simon
(Dodoma), Vicent Mabo
(Morogoro), Godfrey Kihwili
(Arusha), Michael Mkongwa
(Njombe), Abdallah Rashid (Dsm),
Shafii Mohamed (Dsm), Yusuf
Sekile (Songea) Josephat Bulali
(Tanga), Said Mnonga (Mtwara),
Lulu Moshi (Dsm), Mirambo
Tshikungu (Songea), Robert
Luhemeja (Mwanza), Hellen
Mduma (Dsm).
Joseph Majisa (Mwanza), Mashaka
Mwandemba (Mbeya), Mohamed
Mkono (Tanga), Gasper Ketto
(Arusha), Martin Mwalyaje
(Tabora), Ezekiel Mboyi
(Shinyanga), Florentina Zabron
(Dodoma) Agness Pantaleo
(Arusha), Sophia Mtongoli (Mara),
Yahaya Ally (Mara), Hussein
Kalindo (Dsm), Rashid Zongo
(Iringa), Janeth Balama (Iringa),
Sylivester Mwanga (Kilimanjaro),
Samwel Mpenzu (Arusha),
Abdallah Mkomwa (Pwani), Abbas
Omary (Mbeya), Grace Wamala
(Kagera), Abdallah Shaka (Tabora),
Anold Bugado (Singida), Halfan
Sika (Pwani) na Joseph Pombe
(Shinyanga)
WAAMUZI WA LIGI DARAJA LA
KWANZA
Waamuzi wa Ligi Daraja la Kwanza
(FDL) walioteuliwa ni Elly Sasii
(Dsm), Baraka Poka (Dsm), Kefa
Kayombo (Mbeya), Innocent
Mwalutamile (Dsm), Omary
Yusuph (Dsm), Mwanahamis
Matike (Dsm), Mustafa Lupenza
(Njombe), Emmanuel
Mwandembwa (Arusha), Ezekiel
Mboyi (Shinyanga), Rajabu
Jumanne (Dsm), Masoud Mkelemi
(Dsm), Alphaxad Mtete (Songea),
Benedict Magai (Mbeya), Alelick
Ngonyani (Iringa), Selemani
Kinugani (Morogoro), Ismail Manzi
(Tanga), John Mafuru (Mbeya),
Musa Maswaga (Dodoma), Brsyon
Msuya (Dodoma), Nestory Chiga
(Dsm), Isihaka Mwalile, Alfred
Vitalis (Moshi), Rajab Mrope
(Songea), Said Pambaleo (Dsm),
Lwila Gilimbu (Mbeya), Sudi
Hussein (Kigoma) Iddi Mkongoti
(Dsm),
Augostino Mapalala (Geita), Jimmy
Fanuel (Musoma), Ahmad Seif
(Pwani), Salehe Mang’ola
(Dodoma), Hassan Abdallah
(Pwani), Nassoro Mwichui
(Pwani), Ludovick Charles
(Bukoba), Mbaraka Almasi
(Mwanza), Hance Mabena (Tanga),
Steven Makuka (Iringa), Maulid
Mwikalo (Tabora), Livingstone
Lwiza (Bukoba), Shomari Lawi
(Kigoma), Mussa Magogo
(Mwanza), Liston Hiari (Dsm),
Erick Onoka (Arusha), Jafari
Mchilla (Dsm), John Ngonyani
(Morogoro), Msewa Rwambo
(Morogoro), Said Issa (Singida),
Klina Kabala (Dsm), Michael
Mgaoli (Dsm), Mwabonile (Dsm),
Seleman Kinugani (Morogoro),
Ferydia Machunde (Tabora),
Clement Ntambi (Mwanza),
Thomas Mkombozi (Moshi), Said
Ndege (Dsm) na Peter Mujaya
(Mwanza).
WAAMUZI WASAIDIZI WA LIGI
DARAJA LA KWANZA (FDL)
John Gabriel (Mbeya), Phileon
Mboje (Mwanza), Emmanuel Muga
(Morogoro), Dennis Maneva
(Morogoro), Silvernus Ikune
(Morogoro), Elly Shayo
(Morogoro), Mrisho Bakari
(Mbeya), Amdani Said (Dsm),
Hamis Pondamali (Dsm), Abubakar
Mikidadi (Dsm), Greyson Kadebe
(Dsm), Abdulazizi Ally (Arusha),
Enock Mwanyonga (Arusha), Said
Mzuzuri (Pwani), Rajab Tozo
(Pwani), Hussein Ameir (Mtwara),
Ahmada Kidodi (Pwani), Msafiri
Kitemi (Pwani), Abdul Islam (Dsm),
Salum Njechele (Pwani), Hamis
Cheyo (Songea),Nicholous
Makaranga (Morogoro), Hamis
Wangare (Dsm), Moshi Hamisi
(Dsm), Msafiri Kitemi (Pwani),
Mwarabu Mumba (Morogoro),
Ephraim Mkumbukwa (Tanga),
Agnes Alphonce (Dsm), Bahati
Mapesi (Dsm), Kassim Safisha
(Pwani), Nickson Haule (Pwani),
Othman Othman (Pwani), Charles
Mwamlima (Mbeya), Alex Thomas
(Arusha).
Wengine Fadhil Mtawwanya
(Arusha), Mohamed Juwaji
(Pwani), Farashuu Mohamed
(Pwani), Omary Juma (Dodoma),
Hashim Mgimba (Iringa), Hamidu
Mkwimba (Iringa), Jumanne Njige
(Mwanza), Justina Charles
(Tabora), John William (Dodoma),
Lwila Gilimbu (Mbeya), Iddy
Mpingo (Pwani), Omary Matemela
(Pwani), Elias Oliech (Mara),
Makore Ntagenda (Mara), Samson
Kobe (Dar), Nestory Livangala
(Tabora), Rebeka Mulokozi
(Shinyanga), Abdul Mwishehe
(Dsm), Grayson Banyeza
(Bukoba), Iganas Mwarabu
(Mwanza), Geofrey Msakila (Geita),
Daud Matwi (Tabora), Jafet
Kasililwa (Sumbawanga), Jamada
Amada (Kagera), Edga Lyomba
(Kagera), Grayson Buchard
(Kagera), Hamid Mohamed (Dar),
Hamis Musa (Dar), Hussein Walii
(Mtwara), Innocent Mwalutanire
(Dar), Emmanuel Mamba
(Dodoma), Daudi Bahiganyi
(Kigoma), Ephrony Ndisa (Dsm).

Post a Comment

 
Top