Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,
Donard Ngoma akiichambua
ngome ya Timu ya Azama, wakati
wa Mchezo wao wa robo fainali ya
Mashindano ya Kombe la Kagame,
uliopigwa jioni ya leo kwenye
Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es
salaam. Azam imeibuka mshindi
kwa mikwaju ya penati 5-4, baada
ya kutoshana nguvu kwa dakika
90 za mchezo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment