0

Wauza samaki Akina mama katika hotel ya Starcom Nangurukuru wilayani Kilwa mkoani Lindi wameaandama hadi ofisi ya mtendaji wa kata kudai kunyanyaswa na mmiliki wa hotel hiyo.
Tukio hilo limetokea jana kwa kile walichodai wamechoshwa kunyanyaswa na mmiliki wa hotel hiyo.
 

Post a Comment

 
Top