0

                            wananchi wakiwa wameziba barabara


Wananchi wenye hasira wafunga barabara katika kijiji cha hotel Tatu kilwa baada ya basi la maning nice kumgonga mkazi mmoja wa kijiji hicho na kufariki hapo hapo.. Hatua imesababisha Abiria waliotoka Mtwara, masasi,Nachingwea, Newala na lindi kwenda na kutoka Dar kukwama hapo baada ya wananchi hao kudai mkuu wa mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza afike katika tukio ili watoe kilio chao.

Post a Comment

 
Top