Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Liwale Mkoani Lindi bwana Mohamed Ngalemwa amejiuzulu leo kwenye kikao cha kamati tendaji kwa hiyari yake, baada ya kuona haendani na kasi ya chama hicho kufuatia yeye kujiona yupo nyuma na sasa yupo kwenye chama hicho kama mwanachama wa kawaida.
Post a Comment