Nape ambaya ni Katibu Wa Itikadi na Ueneze (CCM) akizungumza na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA). Hii ni wakati Nape akiwa katika ziara yake kwa vyombo vya habari, ambapo moja ya chombo alichotembelea ni gazeti la Tanzania Daima. Hapa ni katika ofisi za Free Media Ltd.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye ofisi
za kampuni ya Free Media ltd jijini Dar es salaam, Nape ambaye yupo
kwenye ziara ya kutembelea vyombo vya habari nchini leo alitembelea
gazeti la Tanzania Daima na Jambo Leo. - See more at:
http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2015/02/nape-akutana-na-mbowe-leo-jijini-dar-es_6.html#sthash.vvHYGy5Y.dpuf
tibu

Kushoto
ni Mkuu wa Mawasiliano Ya Umma(CCM) ndugu Daniel Chongolo na kulia ni
Nevile Meena ambaye ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima.
Post a Comment