0


kuna zoezi la uandikishaji kwa ajili ya upigaji wa kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 14 disemba mwaka huu. zoezi hili la uandikishaji limeanza tarehe 23 na kumalizika tarehe 29 mwezi huu wa novemba kwa nchi nzima.
Wito maalumu kwa vijana, na wakazi wote kwa ujumla wake kwenda kukajiandikisha ili kupata nafasi ya kuchagua na kuwabadilisha viongozi wasio na tija na maslahi yetu kama wana-liwale.
Musikubali fursa hii iwapite kisha mukaanza kunung'unika na kulalamika, munahimizwa na muhamasishane kila mtu anapokutana ili kwenda kujiandikisha.
Kwa kuanzia, kopi ujumbe huu hapa chini kwenye simu yako kisha uwatumie marafiki kama sehemu ya kampeni hii ya uwandikishaji wa wapiga kura wilayani Liwale.
"NIMEJIANDIKISHA TAYARI KWA KUPIGA KURA WEWE JE?" MABADILIKO-LIWALE.

Post a Comment

 
Top