0

Kamati ya uhamasishaji wa ujenzi wa Maabara Wilayani Liwale leo wamepokea msaada wa mifuko ya Saruji 250 yenye thamani ya zaidi ya shilingi 5,000,000/= Wachangiaji ni pamoja na mkuu wa mkoa wa Lindi mheshimiwa  Ludovick  Mwananzila amechangia mifuko 55, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mifuko 130, Kiwanda cha ZOE Investment mifuko 55, Bodaboda, MEK Kibutuka na Meneja TANESCO (W) Mifuko 10.
Mchango huo amekabidhi kwa katibu wa kamati ya uhamasishaji ujenzi maabara(DED) ambaye Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Mkuu wa wilaya

Make Money at : http://bit.ly/copy_win

 Saruji hiyo imesambazwa katika shule za sekondari 12 kama ifuatavyo: Kikulyungu 35, Mlembwe 35, Liwale High School 35, Likongowele 35, Hangai 16, Kiangara 16, Milina 13, Mirui 13,Mihumo13, Nicodemus Banduka 13, Nangano 13 na Anna Magowa 13.Mgawo huu umezingatiwa na ukubwa wa mahitaji ya gharama za ukamilishaji wa ujenzi wa maabara ya shule husika.Mkuu wa wa wilaya bwana Ephraim Mmbaga mara baada ya kupokea msaada huo alisema "Shukrani ziwaendee wale wote waliochangia Elimu ya watoto wetu na Pamoja Tunaijenga wilaya yetu".

Mchango huo amekabidhi kwa katibu wa kamati ya uhamasishaji ujenzi maabara(DED) ambaye Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Mkuu wa wilaya

Make Money at : http://bit.ly/copy_win
Mchango huo amekabidhi kwa katibu wa kamati ya uhamasishaji ujenzi maabara(DED) ambaye Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Mkuu wa wilaya

Make Money at : http://bit.ly/copy_win

Post a Comment

Top