Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti na Muasisi wa Kampuni
ya Invest Africa ya Uingereza, Bw. Robert Hersov kabla ya mazungumzo yao
kwenye hoteli ya Savoy,London Oktoba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Jarida la First baada ya kukabidhiwa
nakala ya toleo la jaridai hilo na Muasisi wake, Rupert Goodman
(kulia) kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London ,
Oktoba 21, 2014. Jarida hilo limesheheni makala zenye kuinadi Tanzania
na vivutio vyake nje ya nchi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua toleo la Jarida la
First lenye makala mbalimbali za kuinadi Tanzania na Vivutio vyake nje
ya nchi katika hafla iliyofanyika kwenye ubalozi wa Tanzania nchini
Uingereza, Oktoba 22, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini
Uingereza, Peter Kallaghe na kulia ni Mwanzilishi wa jarida hilo,
Rupert Goodman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watanzania wanaosoma
nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo London
Oktoba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watanzania wanaosoma
nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo London
Oktoba 21, 2014.Watatu kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza,
Peter Kallaghe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment