Mjasiliamali akiwa anapimwa uelewa kwa baadhi ya mada.
UMOJA WA WAJASILIAMALI NA WAWEZESHAJI KWA KUSHIRIKIANA NA LIMAS JANA WALITOA WARSHA KWA WAJASILIMALIA.
Moja ya mada muhimu waliyopata wajasiliamali ni juu ya umuhimu wa kuandaa Kumbukumbu za biashara zao na kuzitunza kwani kuweka kumbukumbuku tutamsaidia mjasiliamali kufahamu mali yake na kutamsaidia katika suala la ulipaji sahihi wa kodi kama anahistahili kulipa koda kutokana na biashara yake au hastahili kulipa kodi kwa mujibu wa sheria za mamlaka za TRA baada ya mamlaka ya TRA kuangalia kumbukumbu na kudhia.
UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA BIASHARA YAKO.
*TRA itakutoza kodi kwa kiasi cha 1.2% ya faida ya biashara yako kama utakuwa na kumbukumbu sahihi za biashara yako.
*Kama utakuwa na kumbukumbu sahihi na mtajiwa wako uko chini cha kiwango hautaweza kulipa kodi hii baada ya TRA kuridhishwa na kumbukumbu za biashara yako.
HASARA ZA KUTOKUTUNZA KUMBUKUMBU ZA BIASHARA ZAKO.
*Kama hautkuwa na kumbukumbu TRA itatathumini mali zako na kukadiliwa kiwango cha kodi.
Baadhi ya washiriki wa warsha wakiwa wanapata chakula.
PIA WATAALAMU WAMETOA USHAURI KWA WAJASILIAMALI.
Wajasiliamali wameshauriwa fursa za elimu kama hizi kuzichangamkia ili ziwasaidie katika ukuzaji wa biashara yao.
Post a Comment