Mkuu
wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) na Mkuu wa Bandari ya
Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule
ya msingi Mahumbika wakati wa kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye
thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Tanzania (TPA), kwa shule za mkoa wa Lindi hivi karibuni.
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dkt. Hemid Nassoro akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mahumbika kabla ya kupokea msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kwa shule za mkoa wa Lindi hivi karibuni.
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela akisoma
hotuba kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi
wa Bandari Tanzania (TPA) kabla ya kukabidhi msaada wa madawati 110
yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh.
Ludovick Mwananzila hivi karibuni.
Baadhi
ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakifurahia jambo wakati wa
hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi
milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo
Lindi vijijini.
Baadhi ya
wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakiimba wimbo wa Taifa wakati
wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi
milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo
Lindi vijijini.
Wasanii wa kikundi cha ngoma na maigizo cha kijiji cha Mahumbika, Lindi wakitoa burudani wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo Lindi vijijini.
Post a Comment