Bwana Kabutu akiuliza swali kwa wataalumu wa kituo cha sheria na haki za binadamu katika ukumbi wa REANA CLUB |
Kituo cha sheria na haki za binadamu Jana chatembelea wilayani Liwale mkoani Lindi,na kuzungumza na wananchi wa Kata nne za liwale mjini juu ya kuwaelimisha wananchi kuhusu Rasimu ya pili ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
WATAALUMU KUTOKA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WAWASHAURI VIJANA KUTOJIZUUKA SANA KUSHABIKIA MIPIRA YA ULAYA BADALA YAKE WAONGELEE MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA AMBAYO ITAKAYOLETA TIJA KWA KIZAZI CHA SASA NA KIJACHO.
Post a Comment