Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionGareth Bale
Real Madrid wanataka kumuuza kwa zaidi ya pauni milioni 100 kwa wing'a Gareth Bale ili kumununua mashambulizi wa Chelesea Eden Hazard, 27. (Sunday
Chelsea watamuuliza mshambulizi raia wa Argentina Sergio Aguero, 29, ikiwa Manchester City iliongea na Hazard. (Star
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionPaul Pogba
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho alijibizana na kiungo wa kati mfaransa Paul Pogba na mlinzi raia wa England Phil Jones baada ya kikosi chake kulimwa na Newcastle wiki iliyopita. (Sun on Sunday)
Mourinho alifanya mkutano wa saa moja kukana tofauti zake na Pogba.
Haki miliki ya pichaAFPImage captionDavid de Gea
Kipa ya Manchester United na Uhispania David de Gea, 27 anasema ana furaha sana klabuni licha ya ripoti kuwa anataka kuhamia Madrid. (Star on Sunday)
Meneja wa Real Zinedine Zidane ambaye amekuwa chini ya shinikizo huko Bernabeu anasema kusimamia mabingwa hao wa uhispania ni kazi ngumu. (Sunday Times - subscription required)
Manchester City wanammezea mate kiungo wa kati wa Dortmund Julian Weigl, 22, lakini klabu hiyo ya Ujerumani inataka pauni milioni 40 kwa mchezaji huyo. (Sunday Mirror)
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMauricio Pochettino
Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino anataka kumsani mshambuliaji raia wa Brazil Richarlison na kiungo wa kati mfaransa Abdoulaye Doucoure, 25, kutoka watford kwa pauni milioni 50. (Sun on Sunday)
Mzaliwa wa Jamaica wing'a wa Bayer Leverkusen Leon Bailey, 20, yuko sawa kuichezea England kwa kuwa babu na bibi yake wana paspoti za Uingereza. (Sunday Mirror)
Haki miliki ya pichaREX FEATURESImage captionSadio Mane
Wing'a wa Liverpool Sadio Mane, 25, anaweza kupewa mkataba ulioboreshwa huko Anfield. Raia huyo wa senegal amebaki na miaka mitatu ya mkataba wake wa puani 80,000 kwa wiki. (Sunday Mirror)
Wing'a wa zmania wa Bayern Munich raia wa uholanzi Arjen Robben, 34, anasema hana mipango ya kustaafu na anataka aidha kuhamia Marekani, China au Qatar. (Sportbuzzer - in Dutch)
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionAliyekuwa beki wa zamani wa klabu ya Real Madrid fernando Hierro
Aliyekuwa beki wa Real Madrid Fernando ...Read more »
Image captionMwandishi wa habari wa Ghana Anas Aremayew Anas akihojiwa na wanahabari kuhusu makala yake ya upelelezi yaliochukua miaka miwili
Takriba...Read more »
Haki miliki ya pichaSPORTPESA
Mabingwa wa ligi ya Tanzania bara Simba wametinga fainali ya michuano ya Super Cup ya kampuni ya Sportspesa baada ya ku...Read more »
Image captionAliyekuwa kocha wa Ufaransa na PSG Laurent Blanc
Chelsea inakaribia kumsajili aliyekuwa kocha wa Ufaransa na PSG Laurent Blanc kuchukua ...Read more »
Mwanamasumbwi wa Marekani Floyd Mayweather ametetea taji lake katika porodha ya Forbes ya wanamichezo wanaopata mapato ya juu zaidi duniani.
...Read more »
Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 26, alikubali kujiunga na Real Madrid kabla ya Zinedine Zidane kujiuzulu kama kocha wa mabingwa hao...Read more »
Post a Comment
aprieztmkrdezign
218168578325095
Emoticon
Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.