0

Chini ya Kocha Pierre Lechantre  kikosi cha Simba kimeanza mazoezi kuelekea mchezo dhidi ya Mbao FC , mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa Taifa siku ya Jumatatu tarehe 26.

Simba ambayo kwa sasa mazoezi yake yanafanyika katika Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam. .

Hata hivyo klabu hiyo inatarajiwa kuendelea na mazoezi leo huku ikielezwa kuwa hali za majeruhi wa klabu hiyo akiwemo John Bocci hali zao ni njema kabisaa..

Katika mchezo huo Simba haihitaji kupoteza  kwani itakuwa imeruhusu wapinzani wao kuwakaribia na kufanya mbio za ubingwa kiwa ngumu...

Post a Comment

 
Top