Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na wagonjwa na kuuliza changamoto wanazokutana nazo hospitalini hapo wakati wa ziara yake katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya leo jijini Dar es salaam.

Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwajulia hali wamama waliolazwa na watoto wao katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana wakati wa ziara yake katika Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya leo jijini Dar es salaam

Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijiridhisha na hali ya upatikanaji wa dawa zilizopo katika stoo ya dawa ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana wakati wa ziara yake Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya leo jijini Dar es salaam.

Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akikagua dawa kama ina nembo ya GoT (Government of Tanzania) inayopigwa chapa na Bohari Kuu ya Madawa ( ili kuepuka uchepushwaji wa dawa hizo kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya Serikali wakati wa ziara yake katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya leo jijini Dar es salaam. PICHA NA WIZARA YA AFYA.
Post a Comment