0

Tuzo za Vijana 50 wa Kitanzania wenye Ushawishi (50 Tanzania Most Infuential Young Tanzanians) zilizoandaliwa na Avance Media zimetangaza washindi wake leo January 16, 2018 
Tokeo la picha la Millard Ayo
ambapo , Mr Countdown Millard Ayo amekuwa mshindi kwenye kitengo cha Vyombo vya Habari.
Tokeo la picha la samatta
Washindi wengine ni pamoja na Mwanasoka Mbwana Samatta kwenye category ya Michezo, 
Tokeo la picha la Peter Kibatala
mwingine ni Wakili Peter Kibatala kwenye category ya Sheria na Uongozi,
Picha inayohusiana
 Yusuph Bakhresa akichukua tuzo kwenye category ya Biashara.
Picha inayohusiana
Wengine ni Mwanamuziki Alikiba ambaye amechukua tuzo ya Burudani, Faraja Nyalandu Picha inayohusianaakichukua category ya Biashara za Kijamii na Asasi za Kiraia, Mitindo ya Maisha tuzo yake imechukuliwa na Jackline N. Mengi Tokeo la picha la Jackline N. Mengina tuzo ya Sayansi na Teknolojia imechukuliwa na Jumanne Mtambalike.Tokeo la picha la Jumanne Mtambalike
Mbwana Samatta pia amekuwa Mshindi wa Jumla (Overall Winner) kwa kupata kura nyingi zaidi kuzidi wote walioshindania tuzo hizo akifuatiwa na Wakili Kibatala na Millard Ayo.

Post a Comment

 
Top