0

             


MKUU wa Mkoa wa Lindi  Jordan Godfray  Zambi  amewataka Watanzania kudumisha amani iliyopo kwa vitendo ili kusukuma mbele juhudi za kujikwamua kiuchumi.

Mkuu huyo wa mkoa alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa  anazungumza na  wananchi  wa  wilaya   Liwale  Kijiji  cha   Kiangara ,  mpigamiti, Mlembwe  na   Lilombe  kwenye  ziara  yake  ya  siku  ya   kuhimiza maendeleo  wilayani  humo

Zambi  aliwataka Wana  Liwale  hususani vijana kudumisha amani iliyopo kwa vitendo   kuhakikisha wanailinda kwa vitendo.

”Tunajukumu kubwa la kuilinda amani ya nchi yetu hususani vijana tumeona juhudi za serikali katika kuhakikisha suala la huduma   za  kijamii  inapatikana na ,rushwa inatokomezwa katika jamii  

Post a Comment

 
Top