0


Mkuu  wa  mkoa   Lindi  Godfray    Zambi  akizungumza  na  wananchi  wa   Kiangara   Liwale 

MKUU wa Mkoa wa Lindi  Godfray  Zambi  amewataka Watanzania kudumisha amani iliyopo kwa vitendo ili kusukuma mbele juhudi za kujikwamua kiuchumi.

Mkuu huyo wa mkoa alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa  anazungumza na  wananchi  wa  wilaya   Liwale  Kijiji  cha   Kiangara ,  mpigamiti, Mlembwe  na   Lilombe  kwenye  ziara  yake  ya  siku  ya   kuhimiza maendeleo  wilayani  humo

Zambi  aliwataka Wana  Liwale  hususani vijana kudumisha amani iliyopo kwa vitendo   kuhakikisha wanailinda kwa vitendo.

”Tunajukumu kubwa la kuilinda amani ya nchi yetu hususani vijana tumeona juhudi za serikali katika kuhakikisha suala la huduma   za  kijamii  inapatikana na ,rushwa inatokomezwa katika jamii  
Mkuu  wa  mkoa   Lindi   Godfray  Zambi  akizungumza  na  wananchi  wa   kijiji  cha  Kichonda    Liwale baada   ya  kukagua  zoezi  la  uandikishji  vitambulisho  vya  taifa

Post a Comment

 
Top