Dari la jengo la jengo liliko soko la hisa mjini Jakarta limeanguka na kuna ripoti za majeruhi kadhaa.
Picha zinazosambaa mitandaoni zinaonyesha vipande vya dari hilo, viti vilivyovunjika na vumbi.
Hadi watu 15 wamepatikana wamejeruhiwa kwa mujibu wa msemaji wa polisi mjini Jakarta, Argo Yuwono.
Watu kadha walionekana wamebewa kutoka kwa jengo hilo.
- Marufuku ya 'Valentine', Indonesia
- Nyani albino aokolewa nchini Indonesia
- Gavana aliyetusi Uislamu afungwa Indonesia
Bw. Argo alisema kuwa baadhi ya watu waliojeruhiwa mikono na miguu wamepelekewa kwenye hospitali zilizo karibu.
Polis wanachungazu kile kilichosababisha kuanguka kwa dari hilo.
Hata hivyo hadi sasa hakujakuwa naripoti zozote za vifo.
Post a Comment