Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira
leo katika Mkutano Mkuu wa 9 wa Umoja wa Wanawake (UWT) ametangaza rasmi
kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).
“Baada ya kufanya kazi chini ya serikali hii kwa takriban miezi 6, 7 sasa, ninaona nina sababu ya kutangaza kwamba ninapenda kuungana Chama cha Mapinduzi” – Anna Mghwira

Post a Comment