0

Olivier Giroud akipongezwa baada ya kuifungia Arsenal bao la tano dakika ya 64 kwa penalti katika ushindi wa 6-0 dhidi ya BATE Borisov kwenye mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates. 

Mabao mengine yalifungwa na Mathieu Debuchy dakika ya 11, Theo Walcott dakika ya 37, Jack Wilshere dakika ya 43, Dzyanis Palyakow aliyejifunga dakika ya 51 na Mohamed Elneny dakika ya 74. 

Arsenal inamaliza kileleni mwa kundi kwa pointi zake 10, ikifuatiwa na Crvena Zvezda pointi sita sawa na FC Cologne ya Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Post a Comment

 
Top