Wadau wa Gesi na Mafuta nchini wametakiwa kujifunza kwa dhati masuala ya uziduaji wa gesi asili na mafuta kwa lengo la kujenga na kuongeza uelewa ili waweze kushiriki kikamilifu
Wito huyo umetolewa na mkuu wa wilaya Kilwa Christopher Ngubiagai wakati alipokuwa anafungua Mafunzo ya kuwajengeana uwezo na kubadilishana uzoefu kuhusu tozo ya huduma katika sekta ya uziduaji wa gesi asili kwa wataalamu wa sekriterieti ya mkoa na waandishi wa habari na viongozi na watendaji kutoa wilaya ya Kilwa
Ngubiagai amesema Tasnia ya uziduaji wa gesi ya asili na mafuta bado ni ngeni hapa nchini hivyo wadau wanapaswa kujifunza kwa dhati na kwa kadri ya uwezo kwa lengo la kujenga na kuongeza uelewa kwa ili kuweza kushiriki kikamilifu,
Post a Comment