0
Setlait ya ta hali ya hewa ya urusi baada ya kuzinduliwa
Image captionSetlait ya ta hali ya hewa ya urusi baada ya kuzinduliwa
Urusi imepoteza mawasiliano na setlait yake ya hali ya hewa saa chache baada ya kuizindua.
Mawasiliano yamepotea kwa sababu haiko katika obit yake , kulingana na shirika la angani la Roscoms.
Setlait hiyo kwa jina Meteor-M ilibebwa katika roketi ya Soyuz.
Uzinduzi huo ulifanyika kutoka eneo la Vostochny cosmodrome mashariki mwa Urusi.
Ni uzinduzi wa pili kutoka kambi hiyo ambayo ilifunguliwa mwaka uliopita.
Setlait ndogo pia zilikuwemo.

Post a Comment

 
Top