0


UCHAGUZI CCM,Mohamedi Kitura awashinda vijana uwenyekiti wa ccm wilaya ya Liwale mkoani baada ya kufanya uchaguzi na kuweza kujipatia kura 426 jana octoba 2  katika ukumbi wa shule ya sekondari Liwale.

Katika nafasi hiyo ya uwenyekiti iligombewa na vijana lakini mzee Kitura aliweza kuwaburuza hao kwa kuweza kupata kura nyingi zaidi huku Ali Jande akiambulia kupata kura 69 na Ndemane alipata kura 89.

Taarifa za ndani kutoka kwa baadhi ya wanachama wa ccm zinasema Mohamedi Kitura aliweza kupata ushindi huo baada ya jina la mgombea mmoja kutorudi hivyo wanachama waliamua kumrudisha tena Kitura katika nafasi hiyo ya uwenyekiti kwani miaka ya nyuma Kitura aliwahi kushika nafasi za uongozi wilaya kupitia ccm.

KUWA MTU WA KWANZA KUPATA HABARI LIKE PAGE KWA KUBOFYA>> hapa

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top