0
 Hatua ya 8 bora ligi ya Alizeti cup 2017 imeanza kutimua vumbi kati ya mchezo leo ni New Boys Vs Leopard fc mchezo unaoendelea kutimua vumbi katika uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi
 Timu zikisalimiana kabla ya kuanza mchezo timu za leo New Boys kutoka kata ya Kiangara na Leopard fc ni kutoka katika kata ya Makata wilayani Liwale
 Ni mwembe za timu ya Leopard fc ikiwa kwenye lango kabla ya mchezo walianza hivi
Na timu ya New Boys nao walianza kwa mtindo huu kabla ya mchezo  kuanza mpira

Kuangalia ratiba ya michuano hii bofya >>HAPA<<

Post a Comment

 
Top