Kombe linaloshindaniwa kwa mwaka wa pili ambapo mwaka jana kombe hilo mabingwa walikuwa timu ya Halmashauri ya wilaya ya Liwale (HAWILI FC)
16.10.2017 JUMATATU> NEW BOYS FC Vs LEOPARD FC
17.10.2017 JUMANNE> MITUMBA FC Vs SUPER STARS FC
18.10.2017 JUMATANO> HAWILI FC Vs KIGAMBONI FC
19.10.2017 ALHAMISI> NGONGOWELE FC Vs NEW VISION FC
Angalia viongozi wa timu walivyokabidhiwa jezi kwa kubofya >>HAPA <<
VIDEO; Mratibu wa mashindano akiongea mara baada ya kugawa vifaa vya michezo
Post a Comment