0
 Kiongozi wa timu ya Kigamboni fc (kushoto)akipokea jezi pea moja kutoka kwa mratibu wa mashindano ya ligi ya Alizeti cup 2017 bwana Selemani Nangomwa makabidhiano hayo lifanyika leo oktoba 15 kwenye ofisi za chama cha soka Liwale (Lidifa)

Wadhamini wa ligi ya alizeti cup leo wamegawa vifaa vya michezo  kwa timu zilizoingia hatua ya 8 bora ikiwa jezi pea moja kwa kila timu na mpira mmoja.

Timu zilizotinga hatua ya 8 bora ni New Boys,Leopard fc,Mitumba fc,Super Stars fc,Hawili fc,Kigamboni fc,Ngongowele fc na New Vision fc


Hatua ya mtoano wa ligi ya Alizeti cup itaanza kesho oktoba 16 kwa mchezo mmoja kati ya timu ya New Boys Vs Leopard fc mchezo utakaopigwa uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi



  Kiongozi wa timu ya Kigamboni fc (kushoto)akipokea jezi pea moja kutoka kwa mratibu wa mashindano ya ligi ya Alizeti cup 2017 bwana Selemani Nangomwa makabidhiano hayo lifanyika leo oktoba 15 kwenye ofisi za chama cha soka Liwale (Lidifa)

  Kiongozi wa timu ya New Boys fc (kushoto)akipokea jezi pea moja kutoka kwa mratibu wa mashindano ya ligi ya Alizeti cup 2017 bwana Selemani Nangomwa makabidhiano hayo lifanyika leo oktoba 15 kwenye ofisi za chama cha soka Liwale (Lidifa)

  Kiongozi wa timu ya Hawili fc (kushoto)akipokea jezi pea moja kutoka kwa mratibu wa mashindano ya ligi ya Alizeti cup 2017 bwana Selemani Nangomwa makabidhiano hayo lifanyika leo oktoba 15 kwenye ofisi za chama cha soka Liwale (Lidifa)

  Kiongozi wa timu ya Super Star fc (kushoto)akipokea jezi pea moja kutoka kwa mratibu wa mashindano ya ligi ya Alizeti cup 2017 bwana Selemani Nangomwa makabidhiano hayo lifanyika leo oktoba 15 kwenye ofisi za chama cha soka Liwale (Lidifa)

  Kiongozi wa timu ya Mitumba fc (kushoto)akipokea jezi pea moja kutoka kwa mratibu wa mashindano ya ligi ya Alizeti cup 2017 bwana Selemani Nangomwa makabidhiano hayo lifanyika leo oktoba 15 kwenye ofisi za chama cha soka Liwale (Lidifa)

  Kiongozi wa timu ya Ngongowele fc (kushoto)akipokea jezi pea moja kutoka kwa mratibu wa mashindano ya ligi ya Alizeti cup 2017 bwana Selemani Nangomwa makabidhiano hayo lifanyika leo oktoba 15 kwenye ofisi za chama cha soka Liwale (Lidifa)

  Kiongozi wa timu ya New Vision fc (kushoto)akipokea jezi pea moja kutoka kwa mratibu wa mashindano ya ligi ya Alizeti cup 2017 bwana Selemani Nangomwa makabidhiano hayo lifanyika leo oktoba 15 kwenye ofisi za chama cha soka Liwale (Lidifa)


Picha ya pamoja kwa viongozi wa timu zilizotinga hatua ya 8 bora na viongozi wa tff pamoja na mratibu wa mashindano ya alizeti cup 2017

Post a Comment

 
Top