0
George Kitalama enzi za uhai wake

George Kitalama enzi za uhai wake
***

Habari zilizotufikia hivip  punde zinasema kuwa kada wa Chadema  Mhe.George Kitalama amefariki dunia ghafla mjini Shinyanga jioni hii Jumapili Oktoba 8,2017.

Mhe Kitalama aliwahi kuwa Diwani Kata ya Kitangiri katika manispaa ya Shinyanga kwa tiketi ya CHADEMA 2010 -2015,lakini pia amewahi kuwa Katibu CHADEMA Wilaya Shinyanga Mjini.

Inaelezwa kuwa amekutwa na umauti baada ya kuanguka akiwa kwenye kikao cha kanisa la KKKT Mjini Shinyanga.
Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde.

R.I.P Kitalama

Post a Comment

 
Top