0
Watu kumi na watano wafariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la mbuga ya wanyama ya Lwasi, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.Taarifa zinasema ajali hiyo imehusisha gari aina ya FUSO lililokuwa limebeba watu takribani ishirini na wanne pamoja na magunia ya vitunguu na mahindi.
Source :: AZAM TV

Post a Comment

 
Top