Katika wilaya ya Liwale mkoani Lindi vipo vijiji ambavyo havina mawasiliano ya simu baadhi ya vijiji ambavyo havina mawasiliano kama nilivyojionea Liwale Blog kama kijiji cha Mkutano,Kikulyungu kwa kata ya Mkutano na kwa kijiji cha Mirui kwa kata ya Mirui.
Hivi ni baadhi tu ya vijiji ambavyo havina mawasiliano ya simu katika wilaya ya Liwale
Moja ya sehemu ya eneo ambalo wananchi wanajitega ili kuweza kufanya mawasiliano katika kijiji cha Mkutano kata ya Mkutano wilayani Liwale


Post a Comment