MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo September 20, 2017 imewaachia huru vigogo wa Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (Dart), akiwemo Ofisa Mtendaji Mkuu, Asteria Mlambo, waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. Milioni 83.5.
Mbali na Mlambo, wengine ni, Mkurugenzi wa Fedha, Evodius Katale na Mwanasheria Mwandamizi Francis Kugesha wote wa Dart na Yuda Mwakatobe.
Post a Comment